LACAZERTE ATOA SABABU KWANINI HAKUSHANGILIA GOLI LAKE DHIDI YA LEICESTER
Mchezaji huyo Mfaransa aliogopa kushangilia goli lake la kwanza kwa Arsenal ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Mbwa mwitu maarufu kama Leicester City kwa hofu ya mbwa hao kusawazisha na kuoungeza goli kwa moto waliouwasha kipindi cha kwanza cha mchezo.
Comments
Post a Comment