BRAYSON almaalufu kwa jina la GIRA ni hatar sanaa na ana uwezo wa kucheza namba zaid ya nne katika kiwanjaa ana uwezo mzuri na tarent ya hatarii sanaa.... kwa sasa anakipiga lig daraja la 3 timu ya ILOMBA FC MBEYA na ni mdogo kiumri GOD BLESS BRAYSON
READ MORE TO WATCH FULL hofu ya mashabiki wa arsenal yapandaa baada ya nyota huyo kutoka chile kuto chez mech ata moja adi sasa,,,,, huku man city wakiwa koli koli kumtaka nyota huyoo akakipige pale etihad,,,,,,LIN ATAONDOKA TUSUBIL TUONEE
Comments
Post a Comment